Nuacht
Kwa kusaidiwa kupitia programu kama Vodacom Digital Accelerator, biashara hizi hupata si tu maarifa ya kitaalamu na mitaji, bali pia jukwaa la kuonekana na kuunganishwa na wawekezaji na ...
Charles aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu na Msemaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, alifariki dunia Mei 11, 2025, jijini Dar es Salaam.
Rufaa ya Auleria inatokana na uamuzi wa Mahakama ya Wilaya Songea katika rufaa ya jinai iliyobatilisha hukumu dhidi ya Pendo ...
Kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa kwa njia ya mtandao, sasa itasikilizwa katika Mahakama ya wazi ikipangwa kutajwa Mei 19, ...
Air France-KLM kwa sasa inaendelea kutoa huduma za ndege mara saba kwa wiki kati ya Dar es Salaam na Amsterdam kupitia KLM, ...
Katika sekta ya misitu, amesema Finland imekuwa ikiisaidia Tanzania katika utunzaji wa misitu na katika ziara hii, Rais Stubb kesho atazindua mpango unaolenga kuzijengea uwezo taasisi za ...
Baadhi ya wanachama waliokihama NCCR-Mageuzi wamesema walichukua hatua hiyo baada ya kubaini chama chao kilikuwa kinafanya kazi kwa masilahi ya chama kingine kisichotajwa.
Hayo yanakuja ikiwa ni siku mbili zimepita tangu INEC itangaze mgawanyo wa majimbo uliosababisha kuzaliwa kwa majimbo mapya ...
Maeneo yatakayokumbwa na upepo kwa mujibu wa TMA ni mikoa ya Pwani ikiwamo Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, pamoja na visiwa vya ...
Mariam, Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo amesema ujenzi wa masoko umekuwa na changamoto kubwa kwani mengi yanajengwa maeneo ...
Mshtakiwa amefikishwa kwa mara ya kwanza mahakamani hapo leo Mei 14, 2025 mbele ya Hakimu Mkazi Rehema Mayagilo.
Dk Nchimbi atakuwa bega kwa bega na mgombea urais wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye naye alipitishwa na mkutano ...
Cuireadh roinnt torthaí i bhfolach toisc go bhféadfadh siad a bheith dorochtana duit
Taispeáin torthaí dorochtana